117 – MLANGO: SUNNAH YA KUVAA NGUO NYEUPE, NA KUJUZU NGUO NYEKUNDU, KIJANI, MANJANO NA NYEUSI, NA INAJUZU NGUO YA PAMBA, KITANI, NYWELE, SUFI NA KADHALIKA ISPOKUWA HARIRI
باب استحباب الثوب الأبيض، وجواز الأحمر والأخضر والأصفر والأسود، وجوازه من قطن وكتان وشعر وصوف وغيرها إِلاَّ الحرير
قَالَ الله تَعَالَى: ﴿يَا بَنِي آدَمَ قَدْ أنْزَلْنَا عَلَيْكُمْ لِبَاساً يُوَاري سَوْآتِكُمْ وَرِيشاً وَلِبَاسُ التَّقْوَى ذَلِكَ خَيْرٌ﴾ [ الأعراف: 26 ]
وقال تَعَالَى: ﴿وَجَعَلَ لَكُمْ سَرَابِيلَ تَقِيكُمُ الحَرَّ وَسَرَابِيلَ تَقِيكُمْ بَأسَكُمْ﴾ [ النحل: 81 ]
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
117 – MLANGO: SUNNAH YA KUVAA NGUO NYEUPE, NA KUJUZU NGUO NYEKUNDU, KIJANI, MANJANO NA NYEUSI, NA INAJUZU NGUO YA PAMBA, KITANI, NYWELE, SUFI NA KADHALIKA ISPOKUWA HARIRI
Mwenyezi Mungu Amesema: “Enyi wanaadamu! Tumewateremshia nguo za kuficha tupu zenu.” [7:26]. Mwenyezi Mungu Amesema: “Na Allâh Amewafanyia vivuli katika vitu Alivyoviumba, na Amewafanyia maskani milimani, na Amewafanyia nguo za kuwakinga na joto, na nguo za kuwakinga katika vita vyenu.” [16:81].