0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

296. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Kulisha Watoto 08

BUSTANI YA WATU WEMA


وعن أَبي هريرة – رضي الله عنه -: أن النَّبيّ – صلى الله عليه وسلم -، قَالَ: {اليَدُ العُلْيَا خَيْرٌ مِنَ اليَدِ السُّفْلَى، وَابْدَأ بِمَنْ تَعُولُ، وَخَيْرُ الصَّدَقَةِ مَا كَانَ عَنْ ظَهْرِ غِنىً، وَمَنْ يَسْتَعْفِفْ يُعِفَّهُ اللهُ، وَمَنْ يَسْتَغْنِ يُغْنِهِ اللهُ}    رواه البخاري


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa kutoka kwa Abû Huraira Radhi za Allah ziwe juu yake amesimulia: “Mtume amesema: [Mkono wa juu ni bora kuliko mkono wa chini. Anza kwa unayemlisha. Sadaka bora ni inayotolewa baada ya kubakisha kitu. Anayejizuwia (kuomba), Allâh humtosheleza, na mwenye kukinai, Allâh humkinaisha. ]  [Imepokelewa na Bukhari.]


Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.