0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

268. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Ubora Wa Waislamu Wanyonge Hadithi 09

BUSTANI YA WATU WEMA

وعن عائشة – رضي الله عنها قَالَتْ: دَخَلَتْ عَلَيَّ امْرَأةٌ وَمَعَهَا ابنتان لَهَا، تَسْأَلُ فَلَمْ تَجِدْ عِنْدِي شَيئاً غَيْرَ تَمْرَةٍ وَاحدَةٍ، فَأعْطَيْتُهَا إيَّاهَا فَقَسَمَتْهَا بَيْنَ ابْنَتَيْها ولَمْ تَأكُلْ مِنْهَا، ثُمَّ قَامَتْ فَخَرجَتْ، فَدَخَلَ النَّبيُّ – صلى الله عليه وسلم – عَلَينَا، فَأخْبَرْتُهُ فَقَالَ: {مَنِ ابْتُليَ مِنْ هذِهِ البَنَاتِ بِشَيءٍ فَأحْسَنَ إلَيْهِنَّ، كُنَّ لَهُ سِتراً مِنَ النَّارِ}     مُتَّفَقٌ عَلَيهِ.


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa kutoka kwa Âisha Radhi za Allah ziwe juu yake amesema: Nilijiwa na mwanamke aliyekuwa ana mabinti wawili anaomba, basi hakupata kitu kwangu ispokuwa tende moja tu, nikampa naye akaigawa kwa mabinti wake wawili wala hakula kitu. Kisha akainuka na akatoka. Mtume akaja. Nikamweleza habari hii. Akasema:  [Atakayejaribiwa kwa kuruzukiwa hawa mabanati na akawafanyia hisani, watakuwa ni kinga yake ya moto.]   [Muttafaq]

Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.