June 25, 2021
0 Comments
BUSTANI YA WATU WEMA
وعن ابن عباس رضي اللَّه عنهما في قِصَّة برِيرَةَ وزَوْجِها . قال : قال لَهَا النَّبِيُّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم : « لَوْ راجَعْتِهِ ؟ » قَالتَ : يا رَسُولَ اللَّه تأْمُرُنِي ؟ قال : « إِنَّما أَشـْفعُ » قَالَتْ : لا حاجة لِي فِيهِ . رواه البخاري
Kutoka kwa Ibnu Abbas (Radhi za Allah ziwe juu yao) Ameelezea juu ya kisa cha Bariira na mumewe, Mtume ﷺ akamwambia
[Waonaje lau ungalirejea kwake]
Bariira akauliza waniamrisha? (Ewe Mtume wa Mwenyezi Mungu) akamjibu [Kwa hakika naombea] (Bariira) akasema sina haja naye
[Imepokewa na Bukhari]
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله