0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

239. Riyadhu Swalihina Mlango wa Kuadhimisha mambo Matukufu ya Uislamu na … Hadithi 18

BUSTANI YA WATU WEMA


وعن أَبي عُمارة الْبراءِ بنِ عازبٍ رضي اللَّه عنهما قال : أَمرنا رسولُ اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم بِسبْعٍ : أَمرنَا بِعِيادة الْمرِيضِ ، وَاتِّبَاعِ الْجنازةِ ، وتَشْمِيتِ الْعاطِس ، وَإِبْرارِ الْمُقْسِمِ ، ونَصْرِ المظْلُومِ ، وَإِجابَةِ الدَّاعِي ، وإِفْشاءِ السَّلامِ . وَنَهانَا عَنْ خواتِيمَ أَوْ تَختُّمٍ بالذَّهبِ ، وَعنْ شُرْبٍ بالفَضَّةِ ، وعَنِ المياثِرِ الحُمْرِ ، وَعَنِ الْقَسِّيِّ ، وَعَنْ لُبْسِ الحَرِيرِ وَالإِسْتَبْرَقِ وَالدِّيبَاجِ .    متفق عليه
وفي روايةٍ : وإِنْشَادِ الضَّالةِ فِي السَّبْعِ الأُولِ


Kutoka kwa Abuu ‘Umaarah Al-Baraa’ bin ’Aazib (Radhi za Allah ziwe juu yao) Amesema: [A
metuamuru Mtume wa Mwenyezi Mungu ﷺ kutekeleza mambo saba: Ametuamuru kuwazuru wagonjwa, na kufuata jeneza, na kumuombea aliyepiga chafya, na kuamini kiapo, kumnusuru aliyedhulumiwa, kuitikia mwaliko na kutoa na kueneza salamu. Na ametukataza kuvaa pete ya dhahabu, na kunywa kwenye chombo cha fedha, kupanda shogi la hariri nyekundu, na Al-Qasiyy,(ni nguo unayochanganywa hariri na kitani) na kuvaa hariri, na Istabraq (hariri nzito) na dibaji.]  [Imepokewa na Bukhari na Muslim]

Na katika Riwaya nyingine: [Na kusaidia kupata kilichopotea mambo saba yaliyotajwa mwanzo.]


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله



Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.