0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

237. Riyadhu Swalihina Mlango wa Kuadhimisha mambo Matukufu ya Uislamu na … Hadithi 16


BUSTANI YA WATU WEMA


1463655589


وعن أَنسٍ رضي اللَّه عنه قال:  قال رسول اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم : « انْصُرْ أَخَاكَ ظَالِماً أَوْ مَظْلُوماً» فقَالَ رَجُلٌ: يَا رسول اللَّه أَنْصرهُ إِذَا كَانَ مَظلُوماً أَرَأَيْتَ إِنْ كَانَ ظَالِماً كَيْفَ أَنْصُرُهُ ؟ قال: « تَحْجُزُهُ أَوْ تَمْنعُهُ مِنَ الظُّلْمِ فَإِنَّ ذلِك نَصْرُهْ »     رواه البخاري


Kutoka kwa Anas (Radhi za Allah ziwe juu yake) kutoka kwa Mtume wa Mwenyezi Mungu  Amesema: [Mnusuru nduguyo awe amedhulumu au amedhulumia.” Mtu mmoja akauliza] Ewe Mtume wa Mwenyezi Mungu! Nitamnusuru akiwa amedhulumiwa, nieleze nitamnusuru vipi akiwa amedhulumu?” Akasema: [Mzuilie asidhulumu, kufanya hivyo ndiko kumnusuru.]   [Imepokewa na Bukhari ]  


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله



Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.