BUSTANI YA WATU WEMA
وعن أَبي هريرة رضي اللَّه عنه قال : قال رسول اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم : «المُسْلِمُ أَخُو الْمُسْلِم لا يخُونُه ولا يكْذِبُهُ ولا يخْذُلُهُ ، كُلُّ الْمُسْلِمِ عَلَى الْمُسْلِمِ حرامٌ عِرْضُهُ ومالُه ودمُهُ التَّقْوَى هَاهُنا ، بِحسْبِ امْرِىءٍ مِنَ الشَّرِّ أَنْ يَحْقِرَ أَخاهُ المسلم» رواه الترمذيُّ وقال : حديث حسن
Kutoka kwa Abuu Hurayrah (Radhi za Allah ziwe juu yao) kwamba Mtume wa Mwenyezi Mungu ﷺ Amesema: [Muislamu ni ndugu ya Muislamu, hamfanyii khiyana wala hamdanganyi wala haachi kumnusuru. Kila Muislamu juu ya Muislamu ni haramu (kumvunjia) heshima chake, Mali yake na damu yake. Ucha Mungu iko hapa, (akashiria kifua chake) inatosha kwa mtu kuwa katika shari kumdharau ndugu yake Muislamu.] [Imepokewa na At Tirmidhiy na amesema ni Hadithi Hasan]
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله