0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

223. Riyadhu Swalihina Mlango wa Kuadhimisha mambo Matukufu ya Uislamu na … Hadithi 02


BUSTANI YA WATU WEMA


1463655589


وعن أَبي موسى رضي اللَّه عنه قال : قال رسول اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم : « مَن مَرَّ فِي شَيْءٍ مِنْ مَسَاجِدِنَا ، أَوْ أَسْوَاقِنَا، ومَعَه نَبْلٌ فَلْيُمْسِكْ ، أَوْ لِيَقْبِضْ عَلَى نِصالِهَا بِكفِّهِ أَنْ يُصِيب أَحَداً مِنَ الْمُسْلِمِينَ مِنْهَا بِشَيْءٍ »    متفق عليه


Kutoka kwa Abuu Musa (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesema kuwa Mtume wa Mwenyezi Mungu amesema: [Anayepita katika sehemu ya Misikiti wetu, au masokoni mwetu, na ilhali ana mshale, basi auzuwie au akishike chemba chake kwa mkono wake, asije akamdunga nao yeyote katika Waislamu.]       [Imepokewa na Bukhari na Muslim]


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله



Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.