0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

216. Riyadhu Swalihina Mlango wa Uharamu wa kudhulumu na Amri ya kurudisha Vilivyodhulumiwa Hadithi 14


BUSTANI YA WATU WEMA


1463655589


وعن عمر بن الخطاب رضي اللَّهُ عنه قال : لمَّا كان يوْمُ خيْبرَ أَقْبل نَفرٌ مِنْ أَصْحابِ النَّبِيِّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم فَقَالُوا : فُلانٌ شَهِيدٌ ، وفُلانٌ شهِيدٌ ، حتَّى مَرُّوا علَى رَجُلٍ فقالوا : فلانٌ شهِيد . فقال النَّبِيُّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم : « كلاَّ إِنِّي رَأَيْتُهُ فِي النَّارِ فِي بُرْدَةٍ غَلَّها أَوْ عبَاءَةٍ »     رواه مسلم


Kutoka kwa ‘Umar bin Al-Khatwaab Radhi za Allah ziwe juu yake amesema: Siku ya Vita vya Khaybar walikuja kikundi cha Maswahaba wa Mtume   Wakasema: Fulani ni shahidi na fulani pia ni shahidi.” Mtume wa Mwenyezi Mungu akasema: [Sivyo hivyo. Hakika mimi nimemuona motoni kwa juba aliloliiba.]     [Impokewa na Muslim]



شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله



Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.