June 25, 2021
0 Comments
BUSTANI YA WATU WEMA
وعن عبد اللَّه بن عَمْرو بن الْعاص رضي اللَّه عنه رضي اللَّه عنه قال : كَانَ عَلَى ثَقَل النَّبِيِّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم رَجُلٌ يُقَالُ لَهُ كِرْكِرةُ ، فَمَاتَ فقال رسول اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم : « هُوَ في النَّارِ » فَذَهَبُوا يَنْظُرُونَ إِلَيْهِ فوَجَدُوا عَبَاءَة قَدْ غَلَّهَا. رواه البخاري
Kutoka kwa AbduLLaah bin ‘Amru bin Al-‘Aasw Radhi za Allah ziwe juu yao amesema: Alikuwepo mtu mmoja akiitwa Kirkirah aliyekuwa mtunzaji wa mali ya Mtume ﷺ akafariki Akasema Mtume ﷺ: [Yeye ni wa motoni]. Maswahaba wakaenda kumtazama (sababu iliomuingiza motoni) wakapata juba alilochukua kwa khiyana.” [Imepokewa na Bukhari]
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله