MAANA YA IHARAM Suala: Ni nini Maana ya ihram (Kuhirimia) Jawabu: Maana ya Ihram kilugha: Ni kuzuia Ama maana ya Kuhirimia kisheria: “Ni nia ya kuingia kwenye ibada ... Read More
MAANA YA MIIQATI NA AINA ZAKE Suali: Ni nini maana ya Miiqaat (Nyakati) Jawabu: Nyakati kilugha ni kuweka mpaka baina ya vitu viwili. Ama kwa istilahi ya ... Read More
MAANA YA UMRA NA HUKMU YAKE Suali: Ni nini Maana ya Umra Jawabu: Maana ya Umra Umra kilugha ni Ziara Ama maana yake kisheria Ni kuizuru Nyumba Takatifu (Alkaba) ... Read More
SHARTI YA KUWAJIBIKA KWA HIJJA Suali: Ni yapi masharti ya Kuwajibika Hijja ? Jawabu: Kuwajibika Hijja kuna shuruti tano: Ya Kwanza, kuwa ni Muislam, kwani Hija ni ibada ... Read More
HUKMU YA HIJJA NA FADHLA ZAKE Suali: Ni ipi hukumu ya Hijja na fadhla zake ? Jawabu: Hijja ni mojawapo ya nguzo za Kiislamu. Mwenyezi Mungu Alioyetukuka ... Read More
MAANA YA HIJJA Suala: Ni nini Maana ya Hijja kilugha na Sheria? Jawabu: Maana ya Hijja kilugha ni Kukusudia na kuelekea. Ama maana ya Hijja kisheria Ni ... Read More
TAREHE FUPI YA MJI WA MAKKA MTUKUFU Tarehe ya Makka inakwenda nyuma hadi karne ya kumi na tisa kabla ya kuzaliwa Mtume Issa Alayhi salaam ... Read More
HUKMU YA KUKAA ITIKAFU Hukumu ya Kukaa Itikafu “Kufanya itikafu ni Sunna wakati wowote ule, na ubora wake zaidi kuifanya ni katika kumi la mwisho ... Read More
MAANA YA ITIKAFU MAANA YA ITIKAFU Itikafu ki-lugha: Ni kujilazimisha na jambo fulani, na kujifunga nafsi yako juu ya kulifanya jambo hilo. Ama Maana ya Itikafu ki-sheria: ... Read More