SOMO LA FIQHI Maelekezo Muislamu ajiepushe na kuwaudhi ndugu zake Mahujaji wakati wa kutupa vijiwe jamaraat, nawakati wakufanya ibada nyinginezo za hija. Ahakikishe kuwa kijiwa ... Read More
SOMO LA FIQHI 1. Haji atakapofika muzdalifa atanza na Swala ataswali Maghrib na Ishaa kwa kuzikusanya na kupunguza Swala ya isha, kabla kuteremsha mizigo na vitu ... Read More
SOMO LA FIQHI 1. Inahisabika kuwa mtu amesimama arafa kwa kuweko mwenye kuhiji uwanja wa arafa siku ya tisa, sawa akiwa amesimama ama amekaa ama amelala ... Read More
SOMO LA FIQHI 1. Jua linapo chomoza siku hii ya tisa mahujaji wataelekea Arafa na huku wakileta talbiya لبيك اللهم لبيك [labbayka allamuhmma labbayka] Na ni ... Read More
SOMO LA FIQHI Siku ya nane ya Mfungotatu (siku ya Tarwiyah) 1. Siku ya nane ni sunna kwa mja kuhirimia hijja kabla ya adhuhuri atahirimia pale ... Read More
NAMNA YA KUHIJI Mwenye kuenda hija, ima huwa ametia nia ya kufanya (Tamattu’ ) Kufanya umra kisha kupumzika mpaka wakati wa haji au ametia nia ya ( Qiraan ... Read More
TAFAUTI KATI YA AINA TATU ZA IBADA YA HIJA Tafauti ilioko kati ya Aina Tatu ya Ibada ya hija Tamattu Qiraan Ifraad Anahirimia mara mbili, ... Read More