0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

192. Riyadhu Swalihina Mlango wa Kuamrisha Mema na kukanya Mabaya Hadithi 09


BUSTANI YA WATU WEMA


1463655589


عَنْ أَبِي سعيدٍ الْحسنِ البصْرِي أَنَّ عَائِذَ بن عمْروٍ رضي اللَّه عنه دخَلَ عَلَى عُبَيْدِ اللَّهِ بن زيَادٍ فَقَالَ : أَيْ بن زيَادٍ فَقَالَ : أَيْ بنيَّ ، إِنِّي سمِعتُ رسولَ اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم يَقولُ : « إِنَّ شَرَّ الرِّعاءِ الْحُطَمَةُ » فَإِيَّاكَ أَنْ تَكُونَ مِنْهُمْ . فَقَالَ لَهُ : اجْلِسْ فَإِنَّمَا أَنت مِنْ نُخَالَةِ أَصْحَابِ مُحَمَّدٍ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم ، فقال : وهَلْ كَانَتْ لَهُمْ نُخَالَةٌ إِنَّمَا كَانَتِ النُّخالَةُ بَعْدَهُمْ وَفي غَيرِهِمْ ،    رواه مسلم


Kutoka kwa Abu Sa’iid Al-Hasan Al-Baswariy ya kwamba: ‘Aa’idh bin ‘Amru Radhi za Allah ziwe juu yake alimtembelea Ubaydullaah bin Ziyaad (Alikuwa ni Gavana wa Yaziid katika nchi ya Iraq) kumwambia: Ewe mtoto wangu! hakika nimesikia Mtume ﷺ akisema: [Hakika mchungaji mbaya kabisa ni wenye moyo mgumu] (anaedhulumu watu). Basi nakutahadharisha usiwe miongoni mwao.” (Abdullah bin Zayd) akamwambia Keti kwani wewe ni miongoni mwa baki ya Maswahaba wa Muhammad . (yaani si mtu wa Maana) Akasema: (‘Aa’idh) na je, yeye alikuwa na mabaki? hakika mabaki ni waliokuja baada yao na wengineo.  [Imepokewa na Muslim]


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله



Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.