BUSTANI YA WATU WEMA
عن أَبي الوليدِ عُبَادَةَ بنِ الصَّامِتِ رضي اللَّه عنه قال : « بايعنا رسول اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم على السَّمعِ والطَّاعَةِ في العُسْرِ وَاليُسْرِ والمَنْشَطِ والمَكْرَهِ ، وَعلى أَثَرَةٍ عَليْنَا، وعَلَى أَنْ لاَ نُنَازِعَ الأَمْرَ أَهْلَهُ إِلاَّ أَنْ تَرَوْا كُفْراً بَوَاحاً عِنْدكُمْ مِنَ اللَّه تعالَى فيه بُرهانٌ ، وعلى أن نقول بالحقِّ أينَما كُنَّا لا نخافُ في اللَّه لَوْمةَ لائمٍ » متفقٌ عليه
Kutoka kwa Abul Waliyd ‘Ubadah bin As-Swaamit Radhi za Allah ziwe juu yake Asema: [Tulimbai Mtume wa Mwenyezi Mungu ﷺ juu ya kusikia na kutii katika Uzito na wepesi, na tukiwa na nishati au tukiwa na uzito na kumti katika hali ya kufadhiliwa (yaani hata ikipelekea kuwafadhilisha wengine juu yatu). Na tusimpokonye mtawala utawala wake isipokuwa mutapoona ukafiri wa waziwazi ambao mutakuwa na hoja mbele ya Mwenyezi Mungu, na tuseme kweli popote tulipo wala tusiogope kwa Ajili ya Mwenyezi Mungu lawama ya mwenye kulaumu.] [Imepokewa na Bukhari na Muslim]
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله