0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

185. Riyadhu Swalihina Mlango wa Kuamrisha Mema na kukanya Mabaya Hadithi 02


BUSTANI YA WATU WEMA


عن ابنِ مسْعُودٍ رضي اللَّه عنه أَنَّ رسولَ اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم قال : «مَا مِنَ نَبِيٍّ بعَثَهُ اللَّه في أُمَّةٍ قَبْلِي إِلاَّ كان لَه مِن أُمَّتِهِ حواريُّون وأَصْحَابٌ يَأْخذون بِسُنَّتِهِ ويقْتدُون بأَمْرِه، ثُمَّ إِنَّها تَخْلُفُ مِنْ بعْدِهمْ خُلُوفٌ يقُولُون مَالاَ يفْعلُونَ ، ويفْعَلُون مَالاَ يُؤْمَرون ، فَمَنْ جاهدهُم بِيَدهِ فَهُو مُؤْمِنٌ ، وَمَنْ جاهدهم بقَلْبِهِ فَهُو مُؤْمِنٌ ، ومَنْ جَاهَدهُمْ بِلِسانِهِ فَهُو مُؤْمِنٌ ، وليس وراءَ ذلِك مِن الإِيمانِ حبَّةُ خرْدلٍ »    رواه مسلم


Kutoka kwa Ibn Mas’uwd Radhi za Allah ziwe juu yake kwamba: Mtume wa Mwenyezi Mungu ﷺ amesema: [Hakuna Nabii yoyote aliyetumwa kabla yangu isipokuwa alikuwa na wenye kumnusuru (Maswahaba wanafunzi wake) katika Umma wake. na watu wenye kushika Sunna zake na kufuata amri yake. Halafu wakaja Baada yao watu wanaosema wasiyotenda na wanatenda wasiyoamrishwa; basi atakaepigana nao kwa mkono wake mtu huyo ni Mumini  (wa kweli) na mwenye kupigana nao kwa Moyo wake  huyo ni Muumini, na mwenye kupigana nao kwa Ulimi wake huyo ni Muumini, na wala hakuna baada ya hapo chembe ya Imani mfano wa punje ya haradali ]     [Imepokewa na Muslim]


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله



Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.