June 25, 2021
0 Comments
BUSTANI YA WATU WEMA
عن أَبي عبدِ الرحمن زيدِ بن خالدٍ الْجُهَنيِّ رضيَ اللَّه عنه قَالَ : قَالَ رَسُولُ اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم : مَنْ جهَّزَ غَازِياً في سَبِيلِ اللَّه فَقَدْ غَزَا وَمَنْ خَلَفَ غَازِياً في أَهْلِهِ بِخَيْرٍ فَقَدْ غَزَا» متفقٌ عليه
Kutoka Kwa Abuu ‘Abdur-Rahmaan Zayd bin Khaalid Al-Juhaniy Radhi za Allah ziwe juu yake ya kwamba Mtume wa Mwenyezi Mungu ﷺ amesema: [Atakaemwandaa mpiganaji katika njia ya Mwenyezi Mungu huyo naye amepigana, na atakaemsimamia mpiganaji katika Familia yake kwa kheri, naye amepigana.] [Imepokewa na Bukhari na Muslim]
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله