June 25, 2021
0 Comments
BUSTANI YA WATU WEMA
عن عائشةَ رضي اللَّه عنها ، قالت قال رسولُ اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم : « منْ أَحْدثَ في أَمْرِنَا هَذَا مَا لَيْسَ مِنْهُ فهُو رَدٌّ » متفقٌ عليه
وفي رواية لمسلمٍ : « مَنْ عَمِلَ عمَلاً لَيْسَ عَلَيْهِ أَمْرُنَا فَهُو ردٌّ
Kutoka kwa Aisha Radhi za Allah ziwe juu yake amesema: Amesema Mtume ﷺ : [Mwenye kuzua katika jambo letu hili (Dini) lisilokuwemo humo litarudiswa.] [Imepokewa na Bukhari na Muslim]
Na katika Riwaya nyingine ya Muslim: [Mwenyekufanya amali isiyokuwa katika Dini yetu, itarudishwa.]
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله