0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

160. MLANGO WA KUTOA MAWAIDHA KABURINI

باب الموعظة عند القبر


عن عليٍّ رَضِيَ اللَّهُ عنه قَالَ: كُنَّا فِي جنَازَةٍ في بَقِيع الْغَرْقَد فَأَتَانَا رَسُولُ اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم، فقَعَدَ، وقعدْنَا حَوْلَهُ وَمَعَهُ مِخْصَرَةٌ فَنَكَسَ وَجَعَلَ يَنْكُتُ بِمِخْصَرتِهِ، ثُمَّ قَالَ: “مَا مِنكُمْ مِنْ أَحَدٍ إلاَّ وَقَدْ كُتِبَ مقْعَدُهُ مِنَ النَّارِ ومَقْعَدُهُ مِنَ الجنَّة”فقالوا: يَا رَسُولَ اللَّهِ أَفَلاَ نَتَّكِلُ عَلَى كتابنَا؟ فَقَالَ:“اعْمَلُوا، فَكُلٌّ مُيَسَّرٌ لِمَا خُلِقَ لَهُ “وذكَر تمامَ الحديث،     متفقٌ عَلَيْهِ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



160. MLANGO WA KUTOA MAWAIDHA KABURINI


Imepokewa na ‘Alî (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesimulia: “Tulikuwa katika mazishi ya jeneza katika Baqî’ al-Gharqad (makaburi ya Madina). Mtume akatujia na akaketi, nasi tukaketi kando yake, alikuwa ana bakora, akainamisha kichwa chake akawa anakwaruza-kwaruza kwa bakora ile, kisha akasema: “Kila mmoja miongoni mwenu ameshaandikiwa maskani yake motoni na maskani yake Peponi.” Maswahaba wakamwuliza: “Yâ Rasûlallâh, basi si tutekegemee tuliyoandikiwa?” Akawaambia: “Fanyeni amali, kila mtu amesahilishiwa kwa alichoandikiwa.”… akataja mpaka mwisho wa Hadîth.      [ Wameafikiana Bukhari na Muslim.]


Begin typing your search above and press return to search.