0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

158. MLANGO WA KUHARAKISHA JENEZA

باب الإِسراع بالجنازة


عن أَبي هُرَيْرَةَ رضِيَ اللَّهُ عنه عَن النَّبيِّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم قَالَ: “أَسْرِعُوا بِالجَنَازَةِ، فَإنْ تَكُ صَالِحَةً، فَخَيْرٌ تُقَدِّمُونها إلَيْهِ، وَإنْ تَك سِوَى ذلِكَ، فَشَرٌّ تَضَعُونَهُ عَنْ رِقَابِكُمْ”      متفقٌ عَلَيْهِ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



158. MLANGO WA KUHARAKISHA JENEZA.


Imepokewa na Abû Huraira (Radhi za Allah ziwe juu yake)  amesimulia: “Mtume ﷺ  amesema: “Harakisheni jeneza, likiwa ni la mtu mwema, itakuwa ni kheri mwamtangulizia, na likiwa ni kinyume chake basi itakuwa ni shari mnaiyondoa shingoni mwenu.”     [ Wameafikina Bukhari na Muslim ].


Begin typing your search above and press return to search.