October 17, 2024
0 Comments
باب تلقين المحتضر: لا إله إِلاَّ اللهُ
عن معاذٍ رضي اللَّه عنه قالَ: قَالَ رسُولُ اللَّهِ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم: “منْ كَانَ آخِرَ كلاَمِهِ لاَ إِلهَ إِلاَّ اللَّه دَخَلَ الجنَّةَ” رواه أَبُو داود والحاكم وقال: صحيح الإِسناد
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
150. MLANGO WA KUMFUNDISHA ANAYEKARIBIWA NA MAUTI KUSEMA: LÂ ILÂHA ILLALLÂH
Imepokewwa na Mu‘âdh (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesema: “Mtume ﷺ amesema: “Ambaye mwisho wa maneno yake yatakuwa ni Lâ ilâha illallâh (Hakuna mola anayestahiki kuabudiwa kwa haki ispokuwa ni Allâh), ataingia Peponi.” [ Imepokewa na Abû Dâwûd na Alhâkim na amesema: Isnadi yake ni Sahîh.]