BUSTANI YA WATU WEMA
وعن أَنسٍ رضي اللَّهُ عنه قال : دَخَلَ النَّبِيُّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم الْمسْجِدَ فَإِذَا حبْلٌ مَمْدُودٌ بَيْنَ السَّارِيَتَيْنِ فقالَ : « ما هَذَا الْحبْلُ ؟» قالُوا ، هَذا حبْلٌ لِزَيْنَبَ فَإِذَا فَترَتْ تَعَلَقَتْ بِهِ . فقال النَّبِيُّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم : « حُلّوهُ ، لِيُصَلِّ أَحدُكُمْ نَشَاطَهُ ، فَإِذا فَترَ فَلْيرْقُدْ » متفقٌ عليه
Kutoka kwa Anas Radhi za Allah ziwe juu Amesema Mtume ﷺ aliingia Msikitini, akaona kamba imefungwa baina ya nguzo mbili. Akauliza: [Kamba hii ni ya nini?] Wakasema: Hii ni kamba ya Zaynab, anapochoka hujiegemeza kwayo. Basi Mtume ﷺ akasema: [Ifungueni na kila mmoja wenu aswali kwa nguvu zake, atakapochoka alale.] [Imepokewa na Bukhari na Muslim]
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله