0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

143. MLANGO WA SUNNAH YA KUPEANA MIKONO WAKATI WA KUKUTANA, KUWA NA USO WA BASHASHA, KUUBUSU MKONO WA MTU MWEMA, MTU KUMBUSU MWANAWE KWA HURUMA, KUMPIGA MAKAMAMA ALIEKUJA KUTOKA SAFARINI NA UKARAHA WA KUINAMA

باب استحباب المصافحةِ عندَ اللقاء وبشاشةِ الوجهِ وتقبيل يد الرجل الصالح وتقبيل ولده شفقة ومعانقة القادم من سفر وكراهية الانحناء

عن أَبي الخطاب قتادة قَالَ: قلُت لأَنَسٍ: أكَانتِ المُصافَحةُ في أصْحابِ رسولِ الله صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم؟ قَالَ: نَعَمْ.    رواه البخاري

شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى

143. MLANGO WA SUNNAH YA KUPEANA MIKONO WAKATI WA KUKUTANA, KUWA NA USO WA BASHASHA, KUUBUSU MKONO WA MTU MWEMA, MTU KUMBUSU MWANAWE KWA HURUMA, KUMPIGA MAKAMAMA ALIEKUJA KUTOKA SAFARINI NA UKARAHA WA KUINAMA

Abul-khattâb, Qatâdah amesimulia: “Nilimwuliza Anas: “Maswahaba wa Mtume ﷺ walikuwa wakipeana mikono?” Akajibu: “Ndio.”     [ Imepokewa na Bukhârî.]

Begin typing your search above and press return to search.