BUSTANI YA WATU WEMA
عن عائشةَ رضي اللَّهُ عنها أَن النبي صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم دخَلَ عليْها وعِنْدها امْرأَةٌ قال : منْ هَذِهِ ؟ قالت : هَذِهِ فُلانَة تَذْكُرُ مِنْ صَلاتِهَا قالَ : « مَهُ عليكُمْ بِما تُطِيقُون ، فَوَاللَّه لا يَمَلُّ اللَّهُ حتَّى تَمَلُّوا وكَانَ أَحَبُّ الدِّينِ إِلَيْهِ ما داوَمَ صَاحِبُهُ علَيْهِ » متفقٌ عليه
Kutoka kwa Aisha Radhi za Allah ziwe juu yake kwamba Mtume ﷺ aliingia kwake wakati alikuweko mwanamke. Akauliza: [Huyu ni nani?] Akamwambia: Huyu ni fulani anayetajwa kusifiwa kwa Swala zake. Akasema: [Wacheni hayo! Fanyeni mnayoweza, na apa kwa jina la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu Hachoki kuwaandikia thawabu zenu mpaka mtakapochoka nyinyi wenyewe . Na amali inayopendeza mno kwa Mwenyezi Mungu amali ni ile anayodumu nayo mwenye kuifanya.] [Imepokewa na Bukhari na Muslim]
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله