0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

139. MLANGO WA SUNNAH YA KUTOA SALAMU ANAPOSIMAMA KATIKA MAJILISI NA AKAACHANA NA WALIOKETI PAMOJA NAYE

باب استحباب السلام إِذَا قام منَ المجلس وفارق جلساءه أَوْ جليسه


وعن أَبي هريرة رضي الله عنه قال: قال رسول الله صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم: “إذَا انْتَهَى أحَدُكُم إِلَى المَجْلسِ فَلْيُسَلِّمْ، فَإذَا أرَادَ أنْ يَقُومَ فَلْيُسَلِّمْ، فَليسْت الأُولى بأَحَقِّ مِنَ الآخِرَة ”     رواه أَبُو داود، والترمذي وقال: حديث حسن


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



139. MLANGO WA SUNNAH YA KUTOA SALAMU ANAPOSIMAMA KATIKA MAJILISI NA AKAACHANA NA WALIOKETI PAMOJA NAYE


Imepokewa na Abû Huraira (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesema: “Mtume ﷺ amesema: “Anapokomea mmoja wenu katika majilisi, atoe salamu, anapotaka kuondoka, atoe salamu, kwani salamu ya kwanza haina haki kuliko salamu ya pili.”         [ Imepokewa na Abû Dâwûd na Tirmidhy, na amesema: Hadîth hii ni Hasan.]


Begin typing your search above and press return to search.