باب استحباب إعادة السلام عَلَى من تكرَّر لقاؤه عَلَى قرب بأن دخل ثم خرج ثُمَّ دخل في الحال، أَو حال بينهما شجرة ونحوها
عن أَبي هريرة رضي اللَّه عنه في حديثِ المسِيءِ صَلاتُه أنَّهُ جَاءَ فَصَلَّى ثُمَّ جَاءَ إِلَى النَّبيِّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم فَسَلَّمَ عَلَيْهِ فَرَدَّ عَلَيْهِ السَّلام فَقَالَ: “ارْجِعْ فَصَلِّ فَإنَّكَ لَمْ تُصَلِّ”فَرَجَعَ فَصَلَّى، ثُمَّ جَاءَ فَسَلَّمَ عَلَى النَّبيِّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم حَتّى فَعَل ذلكَ ثَلاثَ مَرَّاتٍ. متفقٌ عَلَيْهِ
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
134. MLANGO WA SUNNAH YA KUIKARIRI SALAMU KWA ALIEKUTANA NAYE MARA NYINGINE KWA MDA MCHACHE KAMA VILE KUINGIA NA KUTOKA KISHA PALEPALE AKAINGIA TENA, AU WAKAZUIWA NA MTI BAINA YAO NA MFANO WAKE
Imepokewa na Abû Huraira (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesimulia katika ile Hadîth ya yule mtu alieswali makosa: “Alikuja akaswali, kisha akaja kwa Mtume ﷺ akamsalimia naye akamrudishia salamu, akamwambia: “Rejea ukaswali, kwani bado hujaswali.” Akarejea akaswali, kisha akaja akamsalimia Mtume ﷺ, …hata akafanya hivyo mara tatu.” [ Wameafikiana na Bukhari na Muislamu ].