0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

132. MLANGO WA NAMNA YA KUTOA SALAMU

 باب كيفية السلام


يُسْتَحَبُّ أنْ يَقُولَ المُبْتَدِئُ بالسلام:”السلام عليكم ورحمة الله وبركاته”فيأتي بِضَميرِ الجَمْعِ, وَإنْ كَانَ المُسَلَّمُ عَلَيْهِ وَاحِداً, ويقول المجيب:”وَعَلَيْكُمْ السَّلاَمُ وَرَحْمَةُ الله وَبَرَكَاتُهُ”فَيَأتِي بِوَاوِ العَطْفِ في قَوْله: وَعَلَيْكُمْ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



132. MLANGO WA NAMNA YA KUTOA SALAMU


Inapendekezwa kwa mwenye kuanza kusalimie  aseme: “Amani, na rehema, za Mwenyezi Mungu na baraka ziwe juu yenu,” na atumie kiwakilishi cha wingi, hata kama anayesalimiwa ni mmoja, na Mwenye kuitikia asema: “Na amani, na rehema, za Mwenyezi Mungu baraka zake ziwe juu yenu,” hivyo anatumia kiwakilishi “cha Harufi ya waaw.”


Begin typing your search above and press return to search.