0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

13. MLANGO WA UBAINIFU WA NJIA NYINGI ZA KHERI


BUSTANI YA WATU WEMA


1463655589


   قال اللَّه تعالى :  {وَمَا تَفْعَلُوا مِنْ خَيْرٍ فَإِنَّ اللَّهَ بِهِ عَلِيمٌ}       البقرة:215

 

Amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu:

[Na kheri yoyote mnayo ifanya Mwenyezi Mungu anaijua.]     [Sura Al-Baqara:215]

 

197:وقال تعالى :  {وَمَا تَفْعَلُوا مِنْ خَيْرٍ يَعْلَمْهُ اللَّهُ}   البقرة

 

Na amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu:

[Na kheri yoyote mnayo ifanya Mwenyezi Mungu anaijua.]      [Sura Al-Baqara:197]

 

8:وقال تعالى :{فَمَن يَعْمَلْ مِثْقَالَ ذَرَّةٍ خَيْرًا يَرَهُ}   المزمل

 

Na amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu:

[Basi anaye tenda chembe ya wema, atauona!.]       [Surat Al Zilzalah:7]

 

46:وقال تعالى :  {مَّنْ عَمِلَ صَالِحًا فَلِنَفْسِهِ}   فصلت

 

Na amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu:

[Anaye tenda mema basi anajitendea mwenyewe nafsi yake.]      [Suuratul Fuss’ilat:46]

 

والآيات في الباب كثيرة

 

Na aya katika Mlango huu ziko nyingi.


 شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله



Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.