June 25, 2021
0 Comments
BUSTANI YA WATU WEMA
عن أَبِي هريرة رضي اللَّه عنْه قالَ : قَال رسولُ اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم : « منْ توضَّأ فأحَسَنَ الْوُضُوءَ ، ثُمَّ أتَى الْجُمعةَ ، فَاستمع وأنْصتَ ، غُفِر لَهُ ما بيْنَهُ وبيْنَ الْجُمعةِ وزِيادةُ ثَلاثَةِ أيَّامٍ ، ومَنْ مسَّ الْحصا فَقد لَغَا » رواه مسلم
Kutoka kwa Abuu Hurayrah Radhi za Allah ziwe juu yake amesma: Mtume ﷺ Amesema: [Atakayetawadha vizuri kisha akaenda katika Swala ya Ijumaa, akasikiliza (Khutba) na akaipulika; atasamehewa baina ya Ijumaa hiyo na Ijumaa nyingine na ziada ya siku tatu, na atakayepangusa vijiwe ameshafanya upuuzi.] [Imepokewa na Muslim]