June 25, 2021
0 Comments
BUSTANI YA WATU WEMA
عن أَبِي ذرٍّ رضي اللَّه عنه قال : قال لي النبيُّ صلى اللَّه عليه وآله وسلم : «لاَ تَحقِرنَّ مِن المعْرُوفِ شَيْئاً ولَوْ أنْ تلْقَى أخَاكَ بِوجهٍ طلِيقٍ » رواه مسلم
Kutoka kwa Abuu Dharr, Jundub bin Junaadah Radhi za Allah ziwe juu alinambia mimi Mtume ﷺ: [Usidharau chochote katika wema hata kama ni kukutana na ndugu yako (Muislamu) kwa uso wenye bashasha.] [Imepokewa na Muslim]
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى