0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

121. MLANGO WA SUNNAH YA KUFANYA WASTANI KATIKA MAVAZI, WALA ASIVAE KITAKACHOMSHUSHIA HADHI PASINA HAJA WALA MAKUSUDIO YA KISHARIA

باب استحباب التوسط في اللباس وَلاَ يقتصر عَلَى مَا يزري بِهِ لغير حاجة وَلاَ مقصود شرعي


 عن عمرو بن شُعْيبٍ عن أَبيه عَنْ جدِّهِ رضيَ اللَّهُ عنه قَالَ : قالَ رسُولُ اللَّهِ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم: “إِن اللَّه يُحِبُّ أَنْ يُرى أَثَرُ نِعْمَتِهِ عَلى عبْده”.ا

رواهُ الترمذي وقال: حديث حسن


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



121. MLANGO WA SUNNAH YA KUFANYA WASTANI KATIKA MAVAZI, WALA ASIVAE KITAKACHOMSHUSHIA HADHI PASINA HAJA WALA MAKUSUDIO YA KISHARIA


Imepokewa na ‘Amru bin Shu‘aib amepokea kutoka kwa baba yake naye kutoka kwa babu yake  (Radhi za Allah ziwe juu yao) amesema: “Mtume ﷺ amesema: “Allâh Hupenda kuona athari ya neema Yake kwa mja Wake.”     [ Imepokewa na Tirmidhy, na amesema: Hadîth hii ni Hasan.]


Begin typing your search above and press return to search.