0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

120. MLANGO WA SUNNAH YA KUACHA KUJITUKUZA KWA MAJIVUNO KATIKA MAVAZI, KWA AJILI YA UNYENYEKEVU

باب استحباب ترك الترفع في اللباس تواضعاً


قَدْ سَبَقَ في بَابِ فَضْل الجُوعِ وَخشُونَةِ العيش جُمَلٌ تتعلق بهذا الباب

وعن معاذِ بنِ أَنسٍ رضي اللَّه عنه أَنَّ رسُولَ اللَّهِ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم قَالَ: “مَنْ تَرَكَ اللِّباس تَواضُعاً للَّه، وَهُوَ يَقْدِرُ علَيْهِ، دعاهُ اللَّهُ يَوْمَ القِيامَةِ عَلى رُؤُوسِ الخَلائِقِ حَتَّى يُخيِّره منْ أَيِّ حُلَلِ الإِيمان شَاءَ يلبَسُها

رواهُ الترمذي وقال: حديث حسن


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



120. MLANGO WA SUNNAH YA KUACHA KUJITUKUZA KWA MAJIVUNO KATIKA MAVAZI, KWA AJILI YA UNYENYEKEVU


Imepokewa na Mu‘âdh bin Anas (Radhi za Allah ziwe juu yao)  amesimulia: “Mtume ﷺ amesema: “Atakayeacha kuvaa mavazi (ya fahari) kwa ajili ya kumnyenyekea Allâh, ilihali yeye anaweza (kuvaa), Allâh Atamwita Siku ya Qiyama mbele ya viumbe ili Ampe khiyari ya kuchagua vazi lolote la imani analopenda avae.”   [ Imepokewa na Tirmidhy, na amesema: Hadîth hii ni Hasan.]


Begin typing your search above and press return to search.