0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

118. Riyadhu Swalihina Mlango wa Ubainifu wa Njia nyingi za Kheri Hadithi ya 02


BUSTANI YA WATU WEMA


عن أَبِي ذرٍّ رضي اللَّه عنه أيضاً أنَّ رسُولَ اللَّهِ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم قال : «يُصْبِحُ على كلِّ سُلاَمَى مِنْ أَحَدِكُمْ صدقَةٌ ، فَكُلٌ تَسبِيْحةٍ صَدقةٌ ، وكُلُّ تحْمِيدَةٍ صدقَةٌ ، وكُلُّ تهْلِيلَةٍ صَدَقةٌ ، وكلُّ تَكْبِيرةٍ صَدَقَةٌ ، وأمْرٌ بالمعْرُوفِ صدقَةٌ ، ونَهْيٌ عَنِ المُنْكَرِ صدقَةٌ . ويُجْزِئُ مِنْ ذَلكَ رَكعَتَانِ يرْكَعُهُما مِنَ الضُّحى »    رواه مسلم


Kutoka kwa  Abuu Dharr, Jundub bin Junaadah Radhi za Allah ziwe juu kwamba Mtume wa Mwenyezi Mungu  amesema: [Hupambaukiwa kila kiungo cha mmoja wenu kulazimika kutoa sadaka. Kila Tasbihi (kusema Subhaana Allaah) ni sadaka, na kila Tahmidi (kusema AlhamduliLLaah) ni sadaka, na kila Tahlili (kusema Laa ilaaha illa-Allaah) ni sadaka, na kila Takbiri (kusema Allaahu Akbar) ni sadaka. Kuamrisha mema ni sadaka na kukataza maovu ni sadaka. Yote haya hutosheleza na rakaa mbili za Dhuhaa mtu anapoziswali.]      [Imepokewa na Muslim]


 شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.