0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

106. MLANGO WA ANAYOSEMA NA KUTENDA MTU ANAYEKULA WALA HASHIBI

باب مَا يقوله ويفعله من يأكل وَلاَ يشبع


عن وَحْشِيِّ بن حرب – رضي الله عنه -: أنَّ أصحابَ رسولِ الله – صلى الله عليه وسلم -، قالوا: يَا رسولَ اللهِ، إنَّا نَأكُلُ وَلاَ نَشْبَعُ؟ قَالَ: { فَلَعَلَّكُمْ تَفْتَرِقُونَ} قالوا: نَعَمْ. قَالَ: { فَاجْتَمِعُوا عَلَى طَعَامِكُمْ، وَاذْكُرُوا اسْمَ اللهِ، يُبَارَكْ لَكُمْ فِيهِ}      رواه أَبُو داود


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



106. MLANGO WA ANAYOSEMA NA KUTENDA MTU ANAYEKULA WALA HASHIBI


Imepokewa na Wahshy bin Harb (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesimulia kuwa, Maswahaba wa Mtume ﷺ walimwambia (Mtume): “Yâ Rasûlallâh, sisi tunakula wala hatushibi.” Akawauliza: “Pengine mnakula mbali mbali?” Wakajibu: “Ndio.” Akawaambia: “Kusanyikeni katika chakula chenu na mutaje Jina la Allâh, mutabarikiwa.”     [ Imepokelewa na Abuu Dawuud] 


Begin typing your search above and press return to search.