June 25, 2021
0 Comments
BUSTANI YA WATU WEMA
عن أنس رضي اللَّه عنه عن رسولِ اللَّهِ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم قال: «يتْبعُ الميْتَ ثلاثَةٌ: أهلُهُ ومالُه وعمَلُه، فيرْجِع اثنانِ ويبْقَى واحِدٌ: يرجعُ أهلُهُ ومالُهُ، ويبقَى عملُهُ» متفقٌ عليه
Kutoka kwa Anas Radhi za Allah ziwe juu yake kutoka kwa Mtume ﷺ Amesema: [Mambo matatu humfuata Maiti: Familia yake, Mali yake na ‘Matendo yake. Mawili kati ya hayo hurejea nayo na kubakia na moja; Familia na Mali hurejea na ikabakia ‘Matendo yake.] [Imepokewa na Bukhari na Muslim]
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله