0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

100. Riyadhu Swalihina Mlango wa Mujahada Hadithi ya 06


BUSTANI YA WATU WEMA


1463655589


عن أبي هريرة رضي اللَّه عنه قال: قال رسولُ اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم: «المُؤمِن الْقَوِيُّ خيرٌ وَأَحبُّ إِلى اللَّهِ مِنَ المُؤْمِنِ الضَّعِيفِ وفي كُلٍّ خيْرٌ. احْرِصْ عَلَى مَا ينْفَعُكَ، واسْتَعِنْ بِاللَّهِ وَلاَ تَعْجَزْ. وإنْ أصابَك شيءٌ فلاَ تقلْ: لَوْ أَنِّي فَعلْتُ كانَ كَذَا وَكذَا، وَلَكِنْ قُلْ: قدَّرَ اللَّهُ، ومَا شَاءَ فَعَلَ، فَإِنَّ لَوْ تَفْتَحُ عَمَلَ الشَّيْطَان».     رواه مسلم


Kutoka kwa Abuu Hurayrah Radhi za Allah ziwe juu yake amesema: Amesema Mtume wa Mwenyezi Mungu   [Muumini mwenye nguvu ni bora na anapendeza zaidi mbele ya Mwenyezi Mungu kulikoni Muumini dhaifu, na katika wote (hao) kuna kheri, fanya Pupa katika jambo linalokunufaisha, na uombe msaada kwa Mwenyezi Mungu na wala usifanye uvivu, Utakaposibiwa na jambo usiseme; Lau ningalifanya kadhaa na kadhaa, lakini sema: “Ni makadiro ya Mungu na Atakalo Yeye huwa.” Kwani kusema; lau, hufungua ‘amali ya Shaetani.]      [Imepokewa na Muslim]


 شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله



Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.