BUSTANI YA WATU WEMA
عن أبي هريرة رضي اللَّه عنه. قال قال رسول اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم: «إِنَّ اللَّه تعالى قال: منْ عادى لي وليًّاً. فقدْ آذنتهُ بالْحرْب. وما تقرَّبَ إِلَيَ عبْدِي بِشْيءٍ أَحبَّ إِلَيَ مِمَّا افْتَرَضْت عليْهِ: وما يَزالُ عبدي يتقرَّبُ إِلى بالنَّوافِل حَتَّى أُحِبَّه، فَإِذا أَحبَبْتُه كُنْتُ سمعهُ الَّذي يسْمعُ به، وبَصره الذي يُبصِرُ بِهِ، ويدَهُ التي يَبْطِش بِهَا، ورِجلَهُ التي يمْشِي بها، وَإِنْ سأَلنِي أَعْطيْتَه، ولَئِنِ اسْتَعَاذَنِي لأُعِيذَّنه» رواه البخاري
Kutoka kwa Abuu Hurayra Radhi za Allah ziwe juu yake amesema:Amesema Mtume ﷺ :Hakika amesema Mwenyezi Mungu Mtukuf : [Mwenye kumfanyia uadui kipenzi Changu, basi Nimeshamtangazia vita. Mja Wangu hajikurubishi Kwangu kwa jambo linalonipendeza mno kulikoni kutenda fardhi nilizomfaradhishia; Mja Wangu hataacha kujikurubisha Kwangu kwa Nawafil (Swala za Sunna) mpaka Nimpende. Nitakapompenda, Nitakuwa ni masikizi yake anayosikilizia, na ni macho yake anayoonea, na ni mkono wake anaoshikia, na ni mguu wake anaotembelea. Akiniomba Nitampa, na akiomba kinga Kwangu Nitamkinga.] [Imepokewa na Bukhari]
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله