BUSTANI YA WATU WEMA
وعنْ أبي هُريْرة رضي اللَّه عنه : قال قال رسول اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم : « قَارِبُوا وسدِّدُوا ، واعْلَمُوا أَنَّه لَنْ ينْجُو أحدٌ منْكُمْ بعملهِ » قَالوا : ولا أنْت يَا رسُولَ اللَّه؟ قال : « ولا أَنَا إلا أنْ يتَغَمَّدني اللَّه برَحْمةٍ منْه وَفضْلٍ » رواه مسلم
Kutoka kwa Abuu Hurayrah Radhi za Allah ziwe juu yake amesema: Amesema Mtume wa Mwenyezi Mungu ﷺ: [Fanyeni wastani (msivuke mipaka) na muwe na msimamo. Jueni kwamba hakuna yeyote yule miongoni mwenu atakayeokoka na ‘amali yake.] Maswahaba wakamuuliza: Hata wewe ewe Mtume wa Mwenyezi Mungu ? Akajibu: [Hata mimi, isipokuwa Mwenyezi Mungu Anifunike kwa rahmah na fadhila Zake.] [Imepokewa na Muslim]
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى