0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

066. Riyadhu Swalihina Mlango wa Kumchunga Mungu Hadithi ya 07

BUSTANI YA WATU WEMA


عَنْ أبي يَعْلَى شَدَّادِ بْن أَوْسٍ رضي اللَّه عنه عن النبي صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم قال : «الكَيِّس مَنْ دَانَ نَفْسَهُ ، وَعَمِلَ لِما بَعْدَ الْموْتِ ، وَالْعَاجِزُ مَنْ أَتْبَعَ نَفْسَه هَواهَا ، وتمَنَّى عَلَى اللَّهِ الأماني »      رواه التِّرْمِذيُّ وقالَ حديثٌ حَسَنٌ
قال التِّرْمذيُّ وَغَيْرُهُ مِنَ الْعُلَمَاءِ : مَعْنَى « دَانَ نَفْسَه » : حَاسَبَهَا


Kutoka kwa Abii Ya’alaa Shaddad bin Aws Radhi za Allah ziwe juu yake kutoka kwa Mtume  amesema: [Mwenye akili ni anaehisabu nafsi yake na akafanya amali itakayomfaa baada ya kufa, na Ajizi (mpumbavu) ni yuke atakaefua hawaa ya nasfi yake kisha akatamani mazuri kwa Mwenyezi Mungu.]      [Imepokewa na At Tirmidhi na amesema ni Hadithi Hasan.]


 شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله




Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.