June 25, 2021
0 Comments
BUSTANI YA WATU WEMA
عن أبي ذَرٍّ جُنْدُبِ بْنِ جُنَادةَ ، وأبي عبْدِ الرَّحْمنِ مُعاذِ بْنِ جبل رضيَ اللَّه عنهما ، عنْ رسولِ اللَّهِ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم ، قال : « اتَّقِ اللَّهَ حَيْثُمَا كُنْتَ وأَتْبِعِ السَّيِّئَةَ الْحسنةَ تَمْحُهَا، وخَالقِ النَّاسَ بخُلُقٍ حَسَنٍ » رواهُ التِّرْمذيُّ وقال : حديثٌ حسنٌ
Kutoka kwa Abuu Dharr, Jundub bin Junaadah na Abuu ‘Abdir-Rahmaan Mu’aadh bin Jabal Radhi za Allah ziwe juu yao wamehadithia kutoka kwa Mtume ﷺ amesema: [Muogope Mwenyezi Mungu popote ulipo, na ufuatishe tendo jema baada ya tendo baya litakalofuta, na utangamane na watu kwa tabia njema.] [Imepokewa na At-Tirmidhiy, na amesema: Hadiyth hii ni Hasan]
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله