June 25, 2021
0 Comments
BUSTANI YA WATU WEMA
عَنْ أبي ثَابِتٍ ، وقِيلَ : أبي سعيدٍ ، وقِيلَ : أبي الْولِيدِ ، سَهْلِ بْنِ حُنيْفٍ ، وَهُوَ بدرِيٌّ ، رضي اللَّه عنه ، أَن النبيَّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم قال : « مَنْ سَأَلَ اللَّهَ ، تعالَى الشِّهَادَة بِصِدْقٍ بَلَّغهُ اللَّهُ مَنَازِلَ الشُّهدَاء ، وإِنْ مَاتَ عَلَى فِراشِهِ » رواه مسلم
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
Kutoka kwa Abuu Thaabit, na inasemekana: Abiy Saiyd, na inasemekana: Abil Waliyd, Sahl bin Hunayf naye ni mpiganaji wa vita vya Badr Radhi za Allah ziwe juu yake kuwa Mtume ﷺ amesema: [Atakayemuomba Mwenyezi Mungu kufa kifo cha shaahid kwa ukweli, Basi Mwenyezi Mungu Atamfikisha daraja za Mashuhadaa hata akifa kitandani mwake.] [Imepokewa na Muslim]