BUSTANI YA WATU WEMA
وعَن ابْنِ مسْعُودٍ رضي اللَّه عنه أنَّ رسولَ اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم قال : « إِنَّهَا سَتكُونُ بَعْدِى أَثَرَةٌ وَأُمُورٌ تُنْكِرونَها ، قَالُوا : يا رسُولَ اللَّهِ فَما تَأمرُنا ؟ قالَ : تُؤَدُّونَ الْحقَّ الَّذي عَلَيْكُمْ وتَسْألونَ اللَّه الذي لكُمْ » متفقٌ عليه
« والأَثَرَةُ : الانفرادُ بالشيْءِ عمَّنْ لَهُ فيهِ حقٌّ
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
Kutoka kwa Abdullaah bin Mas’uwd Radhi za Allah ziwe juu yake amesema: Kuwa Mtume wa Mwenyezi Mungu ﷺ amesema: [Hakika baada yangu kutakuwepo ubinafsi na mambo ambayo hamtokubaliyana nayo.] Maswahaba wakauliza: “Ewe Mtume wa Mwenyezi Mungu, kwahiyo unatuamrisha tufanye nini?” Akawaambia: [Mutaitekeleza haki inayowapasa, na mumuombe Mwenyezi Mungu ambacho ni chenu.] [Imepokewa na Bukhari na Muslim]