BUSTANI YA WATU WEMA
وعنْ سُلَيْمانَ بْنِ صُرَدٍ رضي اللَّه عنهُ قال : كُنْتُ جالِساً مع النَّبِي صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم، ورجُلان يستَبَّانِ وأَحدُهُمَا قَدِ احْمَرَّ وَجْهُهُ . وانْتفَخَتْ أودَاجهُ . فقال رسولُ اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم : « إِنِّي لأعلَمُ كَلِمةً لَوْ قَالَهَا لَذَهَبَ عنْهُ ما يجِدُ ، لوْ قَالَ : أَعْوذُ بِاللّهِ مِنَ الشَّيْطَانِ الرَّجِيمِ ذَهَبَ عنْهُ ما يجدُ . فقَالُوا لَهُ : إِنَّ النَّبِيَّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم قَالَ : «تعوَّذْ بِاللِّهِ مِن الشَّيَطان الرَّجِيمِ ». متفقٌ عليه
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
Kutoka kwa Sulaymaan bin Swurad Radhi za Allah ziwe juu ayke amesema: “Nilikuwa nimekaa pamoja na Mtume ﷺ na watu wanatukanana, na mmoja kati yao uso wake ulikuwa umeiva na mishipa yake ya shingoni imevimba. Mtume ﷺ akasema: [Mimi nalijua neno, lau utalisema basi utaondokewa na hasira: “Aa’uwdhu biLLaahi mina shaytwaani rajiym (najilinda kwa Allaah dhidi ya shetani aliyelaaniwa), ataondokewa na hasira.] Wakaenda wakamwambia kuwa Mtume ﷺ amekwambia ujikinge kwa Mwenyezi Mungu kutokana na shetani aliyelaaniwa.” [Imepokewa na Bukhari na Muslim]