June 25, 2021
0 Comments
BUSTANI YA WATU WEMA
وعَنْ أَنَسٍ رضي اللَّهُ عنه قال : قال رسولُ اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم : « لا يتَمنينَّ أَحدُكُمُ الْمَوْتَ لِضُرٍّ أَصَابَهُ ، فَإِنْ كَانَ لا بُدَّ فاعلاً فليقُل : اللَّهُمَّ أَحْيني ما كَانَت الْحياةُ خَيراً لِي وتوفَّني إِذَا كَانَتِ الْوفاَةُ خَيْراً لِي » متفق عليه
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
Kutoka kwa Anas Radhi za Allah ziwe juu yake amesema: Amesema Mtume wa Mwenyezi Mungu ﷺ: [Asitamani mmoja wenu mauti kwa sababu ya madhara yaliyompata, akiwa hana budi ila atamani, basi aombe: Ewe Mola, Nihuishe madamu kuishi kuna kheyi kwangu, na Unifishe iwapo kufa ni kheri kwangu.] [Imepokewa na Bukhari na Muslim]