June 20, 2021
0 Comments
KINGA YA MUISLAMU
[اللَّهُمَّ لَكَ الحَمْدُ أَنْتَ كَسَوتَنِيه،أسْألك مِنْ خَيرِهِ وخَيْرَ ما صُنع لَهُ،وأعُوذُ بِكَ مِنْ شرِّه وشَرَّ ما صُنِعَ لَهُ]
أبو داود والترمذي والبغوي وانظر مختصر شمائل الترمذي للألباني ص 47
[Ewe Mwenyezi Mungu , sifa njema ni zako, wewe ndie ulienivisha, nakuomba kheri ya nguo hii, na kheri ya kila ambacho nguo hii imetengenezewa, na najilinda Kwako kutokana na shari yake, na shari ambayo nguo hii imetengenezewa] [Imepokewa na Abuu Daud na Al-Ttirmidhiy]
SIKILIZA DUA YA KUVAA NGUO MPIYA