BUSTANI YA WATU WEMA
وَعَنْ أبي يَحْيَى صُهَيْبِ بْنِ سِنَانٍ رَضِيَ اللَّهُ عَنْهُ قَالَ : قَالَ رَسُولُ الله صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم : «عَجَباً لأمْرِ الْمُؤْمِنِ إِنَّ أَمْرَهُ كُلَّهُ لَهُ خَيْرٌ ، وَلَيْسَ ذَلِكَ لأِحَدٍ إِلاَّ للْمُؤْمِن : إِنْ أَصَابَتْهُ سَرَّاءُ شَكَرَ فَكَانَ خَيْراً لَهُ ، وَإِنْ أَصَابَتْهُ ضَرَّاءُ صَبَرَ فَكَانَ خيْراً لَهُ » رواه مسلم
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
Kutoka kwa Abuu Yahyaa, Swuhayb bin Sinaan Radhi za Allah ziwe juu yake amesema: Amesema Mtume wa Mwenyezi mungu ﷺ : [Ajabu kwa jambo la Muumini; hakika mambo yake yote ni kheri, wala hakuna anayepata hilo isipokuwa Muumini pekee; akipatwa na furaha hushukuru ikawa ni kheri kwake, na akipatwa na madhara husubiri basi ikawa ni kheri kwake.] [Imepokewa na Muslim]