0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

010. Riyadhu Swalihina Mlango wa Ikhlas Hadithi ya 10


BUSTANI YA WATU WEMA


وَعَنْ أبي هُرَيْرَةَ رَضِيَ الله عنه  قال: قال رسول الله صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم : «صَلاَةُ الرَّجُلِ في جماعةٍ تزيدُ عَلَى صَلاَتِهِ في سُوقِهِ وَبَيْتِهِ بضْعاً وعِشْرينَ دَرَجَةً ، وذلِكَ أَنَّ أَحَدَهُمْ إِذا تَوَضَّأَ فَأَحْسَنَ الْوُضُوءَ ، ثُمَّ أَتَى الْمَسْجِد لا يُرِيدُ إِلاَّ الصَّلاَةَ ، لا يَنْهَزُهُ إِلاَّ الصَّلاَةُ ، لَمْ يَخطُ خُطوَةً إِلاَّ رُفِعَ لَهُ بِها دَرجةٌ ، وَحُطَّ عَنْهُ بِهَا خَطيئَةٌ حتَّى يَدْخلَ الْمَسْجِدَ ، فَإِذَا دخل الْمَسْجِدَ كانَ في الصَّلاَةِ مَا كَانَتِ الصَّلاةُ هِيَ التي تحبِسُهُ ، وَالْمَلائِكَةُ يُصَلُّونَ عَلَى أَحَدكُمْ ما دام في مَجْلِسهِ الَّذي صَلَّى فِيهِ ، يقُولُونَ : اللَّهُمَّ ارْحَمْهُ ، اللَّهُمَّ اغْفِرْ لَهُ ، اللَّهُمَّ تُبْ عَلَيْهِ ، مالَمْ يُؤْذِ فِيهِ ، مَا لَمْ يُحْدِثْ فِيهِ »   متفقٌ عليه


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى




Kutoka kwa Abu Hurayra Radhi za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake Amesema: Amesema Mtume ﷺ: [Mtu kuswali kwa jamaa (ujira wake) huzidi kuliko mtu kuswali sokoni kwake na nyumbani mwake kwa daraja zaidi ya ishirini,nako ni kuwa mmoja wao anapotawadha kwa uzuri kisha akaenda Msikitini,hakusudii ila kwenda kuswali,hakuna lililomuinuwa ela ni Swala tu,basi (atakuwa) hatoinuwa hatuwa ila huinuliwa Daraja kwa hatua hiyo,na kuondolewa Dhambi mpaka aingie Msikitini,Atakapoingia Msikitini atakuwa (ahisabiwa yuko kwenye Swala) Maadamu swala ndio inayomzuia,na Malaika humuombea rehema mmoja wenu maadamu yuko katika kikao chake alichoswalia,wanamuombe “Ewe mola mrehemu,Ewe mola msamehe,Ewe mola mkubalie toba yake” Maadamu hajaudhi wala hajapatwa na Hadathi (Kutengukwa na Udhu).]   [Imepokelewa na Bukhari na Muslim]


Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.