BUSTANI YA WATU WEMA
وعَنْ أبي مُوسَى عبْدِ اللَّهِ بْنِ قَيْسٍ الأَشعرِيِّ رضِي الله عنه قالَ: سُئِلَ رسول الله صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم عَنِ الرَّجُلِ يُقاتِلُ شَجَاعَةً ، ويُقاتِلُ حَمِيَّةً ويقاتِلُ رِياءً ، أَيُّ ذلِك في سَبِيلِ اللَّهِ؟ فَقَالَ رسول الله صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم : « مَنْ قاتَلَ لِتَكُون كلِمةُ اللَّهِ هِي الْعُلْيَا فهُوَ في سَبِيلِ اللَّهِ » مُتَّفَقٌ عليه
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
Kutoka kwa Abu Musa Al Ash’ary Radhi za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake Amesema: Aliulizwa Mtume ﷺ kuhusu mtu anaepigana kwa ajili ya kuambiwa ni shujaa,na anaepigana kwa ya kabila,na anaepigana kwa ajili ya ria (kujionyesha) ni yupi katika hao ambae yuko katika njia ya Mwenyezi Mungu ? Akasema Mtume ﷺ: [Anaepigana kwa ajili ya neno la Mwenyezi Mungu liwe juu, basi huyo ndie yuko katika njia ya Mwenyezi Mungu.] [Imepokelewa na Bukhari na Muslim]