{"id":7444,"date":"2021-06-25T13:03:51","date_gmt":"2021-06-25T13:03:51","guid":{"rendered":"https:\/\/uongofu.com\/?p=7444"},"modified":"2022-09-14T08:53:52","modified_gmt":"2022-09-14T08:53:52","slug":"kujengwa-kwa-al-kaab-zama-za-mtume-%ef%b7%ba","status":"publish","type":"post","link":"https:\/\/uongofu.com\/en\/kujengwa-kwa-al-kaab-zama-za-mtume-%ef%b7%ba\/","title":{"rendered":"KUJENGWA KWA AL-KA&#8217;AB ZAMA ZA MTUME \ufdfa"},"content":{"rendered":"<p style=\"text-align: center;\"><span style=\"font-size: 18pt; color: #008000;\">KUJENGWA KWA AL-KA\u2019AB ZAMA ZA MTUME \ufdfa<\/span><\/p>\n<hr>\n<p style=\"text-align: left;\">\u00a0<span style=\"font-size: 14pt; color: #000000;\">Baada ya muda wa miaka thalathini na tano tokea kuzaliwa kwa Mtume <span style=\"color: #008000;\">\ufdfa<\/span>, Makuraishi walisimama katika\u00a0ujenzi wa Al-Ka\u2019aba. Jambo hili lilifanyika kwa sababu Al-Ka\u2019 aba ni jengo la mawe lenye urefu wa mita <span style=\"color: #ff6600;\">6.30<\/span> tokea zama\u00a0za Ismail na haikuwa na kiezeko na kwa sababu hiyo kundi la\u00a0wezi liliwahi kuiba mali iliyokuwa ndani ya Al-Ka\u2019aba. Jengo\u00a0lake lilikuwa limeanza kupatwa na udhaifu kwa kuchakaa,hasa ikizingatiwa kuwa ilikuwa ni nyumba ya kale. llipatwa\u00a0na udhaifu huo kutokana na ukale na zikapasuka kuta zake.<\/span><\/p>\n<p><span style=\"font-size: 14pt; color: #000000;\">Kabla ya kupewa kwake Utume kwa miaka mitano mji wa\u00a0Makka ulikumbwa na mafuriko makubwa sana\u00a0yaliyoporomokea kwenye nyumba tukufu ya Al-Ka\u2019aba.Kutokana na mafuriko hayo Al-Ka\u2019aba ilikaribia kubomoka\u00a0kabisa. Makuraishi walilazimika kulijenga upya jengo lake ili\u00a0kuirudisha hadhi yake. Katika hili walikubaliana wote kuwa\u00a0isiingie katika ujenzi huo isipokuwa mali ya halali, kwa hiyo\u00a0hawataingiza mali yenye kutokana na zinaa, wala mauzo ya\u00a0riba, wala mali iliyopatikana kwa njia ya dhuluma.<\/span><\/p>\n<p><span style=\"font-size: 14pt; color: #000000;\">Wakati wa kuanza ujenzi ulipofika wakawa wanaogopa\u00a0kuibomoa Al-Kaaba, mpaka alipoanza kuibomoa <span style=\"color: #ff6600;\">Al-Walid ibn\u00a0Al-Mughirah Al-Makhzumi<\/span>, ndio na watu wengine\u00a0wakamfuata baada ya kuona kuwa hakupatwa na jambo\u00a0lolote. Walibomoa mpaka walipofika katika misingi\u00a0iliyojengwa na Ibrahim (a.s). Walipotaka. kuanza ujenzi,wakaigawa Al-Ka\u2019aba na kulihusisha kila kabila sehemu yake,wakaanza kuijenga na msimamizi wa ujenzi huo alikuwa\u00a0Mrumi aliyekuwa akiitwa Baqum, jengo lilipofika mahali pakuwekwa jiwe jeusi, walitofautiana ni nani ambaye\u00a0atapwekeka kwa kupata utukufu wa kuliweka mahali pake.<\/span><\/p>\n<hr>\n<p><em><span style=\"color: #ff6600;\">Siratu Ibn Hisham, [uzuu 2, Uk. 162-197. <\/span><\/em><br \/>\n<em><span style=\"color: #ff6600;\">104 Ibn Hisham, Juzuu I, Uk. 128.<\/span><\/em><\/p>\n<p><em><span style=\"color: #ff6600;\">Arraheeq Al Makhtum 94-96<\/span><\/em><\/p>\n<hr>","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>KUJENGWA KWA AL-KA\u2019AB ZAMA ZA MTUME \ufdfa \u00a0Baada ya muda wa miaka thalathini na tano tokea kuzaliwa kwa Mtume \ufdfa, Makuraishi walisimama katika\u00a0ujenzi wa Al-Ka\u2019aba. Jambo hili lilifanyika kwa sababu Al-Ka\u2019 aba ni jengo la mawe lenye urefu wa mita 6.30 tokea zama\u00a0za Ismail na haikuwa na kiezeko na kwa sababu hiyo kundi la\u00a0wezi liliwahi [&hellip;]<\/p>","protected":false},"author":2,"featured_media":15476,"comment_status":"open","ping_status":"closed","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"_acf_changed":false,"give_campaign_id":0,"_bbp_topic_count":0,"_bbp_reply_count":0,"_bbp_total_topic_count":0,"_bbp_total_reply_count":0,"_bbp_voice_count":0,"_bbp_anonymous_reply_count":0,"_bbp_topic_count_hidden":0,"_bbp_reply_count_hidden":0,"_bbp_forum_subforum_count":0,"footnotes":""},"categories":[57],"tags":[],"class_list":["post-7444","post","type-post","status-publish","format-standard","has-post-thumbnail","hentry","category-sera-ya-mtume"],"acf":[],"_links":{"self":[{"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/7444","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/users\/2"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=7444"}],"version-history":[{"count":5,"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/7444\/revisions"}],"predecessor-version":[{"id":15497,"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/7444\/revisions\/15497"}],"wp:featuredmedia":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/media\/15476"}],"wp:attachment":[{"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=7444"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=7444"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=7444"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}