{"id":7433,"date":"2021-06-25T13:03:53","date_gmt":"2021-06-25T13:03:53","guid":{"rendered":"https:\/\/uongofu.com\/?p=7433"},"modified":"2022-09-14T10:22:38","modified_gmt":"2022-09-14T10:22:38","slug":"baraka-za-mtume-muhammad-%ef%b7%ba-kwa-banu-saad","status":"publish","type":"post","link":"https:\/\/uongofu.com\/en\/baraka-za-mtume-muhammad-%ef%b7%ba-kwa-banu-saad\/","title":{"rendered":"BARAKA ZA MTUME MUHAMMAD \ufdfa KWA BANU SA&#8217;AD"},"content":{"rendered":"<p style=\"margin-top: 10px; text-align: center;\"><span style=\"font-size: 18pt; color: #008000; font-family: terminal, monaco;\">BARAKA ZA MTUME MUHAMMAD \ufdfa KWA BANU SA\u2019AD<\/span><\/p>\n<hr>\n<p style=\"margin-top: 10px; text-align: left;\"><span style=\"font-size: 14pt; color: #000000;\">Kwa sababu ya Baraka za Mtume <span style=\"color: #008000;\">\ufdfa<\/span> Halima aliona mambo ambayo aliyasimulia kwa kustajabishwa kwake na\u00a0tumwache yeye mwenyewe atueleze hilo kwa ufafanuzi:<\/span><\/p>\n<p style=\"margin-bottom: 10px;\"><span style=\"font-size: 14pt;\"><span style=\"color: #000000;\">Ibni Ishaq anasema, Halima aliwahi kusimulia kuwa siku moja alikuwa akitoka katika mji wake pamoja na mume wake,\u00a0na mtoto wake mdogo akiwa ananyonya, alikuwa ni mmoja\u00a0miongoni mwa kundi la wanawake katika Banu Sa ad bin\u00a0Bakr, waliokuwa wakitafuta watoto wa kunyonyesha. Jambo hilo lilikuwa katika mwaka wa ukame mwaka wa njaa ambao\u00a0haukubakisha kitu chochote kwetu, amesema: \u201cNikatoka nikiwa juu ya punda wangu mwenye rangi nyeupe, pamoja na\u00a0Ngamia wetu, ambaye naapa kwa Jina Mwenyezi Mungu\u00a0Ngamia wetu, ambaye naapa kwa Jina Mwenyezi Mungu<\/span> <span style=\"color: #0000ff; font-size: 18.6667px;\">\ufdfb<\/span> <span style=\"color: #000000;\">alikuwa hatutolei sisi tone la maziwa. Usiku pia tulikuwa hatulali kwa jinsi mtoto alivyokuwa akilia kwa\u00a0sababu ya njaa. Katika nyumba yangu sikuwa na kitu\u00a0kinachoweza kumtosha, matumaini yetu yote yalikuwa ni\u00a0katika kusubiri mvua. <\/span><\/span><\/p>\n<p style=\"margin-bottom: 10px;\"><span style=\"font-size: 14pt;\"><span style=\"color: #000000;\">Nilitoka nikiwa juu ya punda wangu,kwa hakika nilikuwa nikiomba msaada kwa wasafiri\u00a0wenzangu mpaka hilo likawa gumu kwao, nilijikongoja hivyo\u00a0hivyo kwa unyonge mpaka tukafika Makka, tukiwatafuta\u00a0watoto wa kunyonyesha. Katika sisi hakuna Mwanamke\u00a0ambaye hakuonyeshwa kwa Mjumbe wa Mwenyezi Mungu<\/span><span style=\"color: #008000;\"> \ufdfa<\/span>. Kila aliyekwenda kwao na kufahamishwa kuwa mtoto\u00a0ni yatima aliondoka, maana kila mmoja alikuwa anataraji\u00a0mapato kutoka kwa baba wa mtoto. Kila mmoja alikuwa\u00a0akiwaza yatima ni kitu gani ni kipi ambacho anaweza kufanya\u00a0mama yake na Babu yake? Kwa hiyo, hatukumtaka kwa\u00a0sababu hiyo. Kila mwanamke katika msafara wetu alimpata\u00a0mtoto wa kumnyonyesha isipokuwa mimi. Tulipokuwa\u00a0tunajiandaa kurudi nilimwambia mume wangu, \u2018Ninaapa kwa\u00a0Mwenyezi Mungu <span style=\"color: #0000ff;\">\ufdfb<\/span> , kwa hakika mimi ninaona vibaya\u00a0kurudi nikiwa kati ya wenzangu na sikupata mtoto wa\u00a0<span style=\"font-size: 18.6667px;\">kumnyonyesha,<\/span>\u00a0<span style=\"font-size: 18.6667px;\">ninaapa kwa Mwenyezi Mungu <span style=\"color: #0000ff;\">\ufdfb<\/span> nitarudi kwa yule mtoto Yatima nikamchukue.\u2019<\/span><\/span><br \/>\n<span style=\"font-size: 14pt;\">Mume wangu\u00a0hakupinga na akasema, \u2018Hakuna ubaya ukifanya hivyo,huenda Mwenyezi Mungu <span style=\"color: #0000ff;\">\ufdfb<\/span> Akatujaalia Baraka kwa ajili\u00a0yake. Nikamuendea na kumchukua, nilifanya hivyo kwa vile\u00a0mimi sikumpata mwingine.\u2019 \u201cNilipomchukua nilirejea naye\u00a0kambini kwangu, nilipomuweka mapajani mwangu ili\u00a0kumnyonyesha, matiti yangu yalitoa maziwa, akanyonya\u00a0mpaka akatosheka, na ndugu yake naye akanyonya mpaka\u00a0akatosheka, kisha wakalala. llikuwa ni mara ya kwanza kulala\u00a0naye. Mume wangu akasimama na kuelekea alipo Ngamia\u00a0wetu, alishangazwa maana ghafla alimkuta amejaa maziwa,\u00a0akakamua nikanywa mimi pamoja naye mpaka tulipotosheka\u00a0kabisa na kushiba. Tulilala usiku mwema. Ilipofika asubuhi\u00a0mume wangu aliniambia, \u2018Je, wajua! ninaapa kwa jina<\/span><span style=\"font-size: 14pt; color: #000000;\"> la\u00a0Mwenyezi Mungu <span style=\"color: #0000ff; font-size: 18.6667px;\">\ufdfb<\/span> ewe <span style=\"color: #ff6600;\">Halima<\/span>, kwa hakika\u00a0umemchukua mtoto mwenye kubarikiwa!\u2019, Nikasema,\u00a0\u2018Ninaapa kwa Jina la Mwenyezi Mungu <span style=\"color: #0000ff;\">\ufdfb<\/span>, hakika\u00a0ninataraji hilo\u2019. Kisha tukatoka, \u2018Mimi nikampanda punda\u00a0wangu, nikamchukua mtoto. Ninaapa kwa Jina la Mwenyezi\u00a0Mungu <span style=\"color: #0000ff; font-size: 18.6667px;\">\ufdfb<\/span>, kwa hakika mwendo niliokuwa nakwenda\u00a0haukuweza kufikiwa na yeyote katika msafara wetu, punda\u00a0wao hawakuweza kitu chochote katika kuyakata masafa kama\u00a0nilivyokuwa ninafanya. Wenzangu wakaniambia kwa\u00a0mshangao, \u2018Ewe mtoto wa <span style=\"color: #ff6600;\">Abu Dhuayb<\/span>, nenda polepole na\u00a0sisi, kwani huyo si Yule punda wako, ambaye\u00a0ulikuwa\u00a0umetoka naye?\u2019 Nikawahoji, \u2018Kwa nini?\u2019 Ninaapa kwa Jina la\u00a0Mwenyezi Mungu <span style=\"color: #0000ff; font-size: 18.6667px;\">\ufdfb<\/span> hakika punda huyu ndiye Yule yule\u2019,\u00a0<\/span><br \/>\n<span style=\"font-size: 14pt; color: #000000;\">wakawa wanasema: \u2018Tunaapa kwa Mwenyezi Mungu <span style=\"color: #0000ff; font-size: 18.6667px;\">\ufdfb<\/span> kwa hakika punda huyu ana jambo.\u2019 Tukaenda mpaka\u00a0tukafika majumbani kwetu katika miji ya Banu Saad, na siijui\u00a0ardhi yoyote katika ardhi ya Mwenyezi Mungu <span style=\"color: #0000ff; font-size: 18.6667px;\">\ufdfb<\/span> iliyokuwa na ukame mkali kama ilivyokuwa ardhi ya Banu\u00a0Saad wakati huo. Tulipofika naye, mbuzi wangu wakawa\u00a0wanarudi jioni hali ya kuwa wameshiba na wana maziwa\u00a0mengi, tukawa tukikamua na kunywa. Wakati huo hakuna\u00a0mtu aliyekuwa akikamua maziwa kutoka katika mifugo yake,mpaka jamaa zetu wakawa wakisema kuwaambia\u00a0wachungaji, hasara ni yenu, wachungeni wanyama wenu\u00a0pahala anapochungia mchungaji wa binti <span style=\"color: #ff6600;\">Abu Dhuayb<\/span>. Hata\u00a0hivyo mbuzi wao walikuwa wakirudi na njaa na hawatoi tone\u00a0<\/span><br \/>\n<span style=\"font-size: 14pt; color: #000000;\">la maziwa, na mbuzi wangu walikuwa wakirudi wameshiba\u00a0wakiwa na maziwa mengi sana, tulifahamu kuwa Mwenyezi\u00a0Mungu <span style=\"color: #0000ff; font-size: 18.6667px;\">\ufdfb<\/span> Ametuongezea kheri. Hali iliendelea hivyo\u00a0mpaka ilipokamilika miaka yake miwili ya kunyonyeshwa na\u00a0nikamwachisha ziwa. Mtoto alikuwa akikua kwa namna\u00a0isiyofanana na makuzi ya watoto wengine, alipofikisha miaka\u00a0miwili alikuwa ni kijana aliye mkubwa.\u201d \u201cTukampeleka kwa\u00a0mama yake na hali ya kuwa sisi tunatamani sana aendelee\u00a0kukaa kwetu, kutokana na yale ambayo tulikuwa tunayaona\u00a0miongoni inwa baraka zake, tukazungumza na mama yake\u2019,\u00a0nikamwambia, \u201cMw ache mtoto wangu kwanza mpaka\u00a0akomae, kwani ninahofia asije akapata magonjwa ya\u00a0kuambukiza ya Makka. Hatukuacha kumkazania mpaka\u00a0akaturuhusu kurudi naye.<\/span><br \/>\n<span style=\"font-size: 14pt; color: #000000;\">Kwa hivyo Mjumbe wa Mwenyezi Mungu <span style=\"font-size: 18.6667px; color: #008000;\">\ufdfa <\/span>aliendelea kuishi kwa Banu Saad mpaka alipofikisha umri wa\u00a0miaka minne au mitanow tokea kuzaliwa kwake.\u00a0Wakati huo ndipo lilipotokea tukio la kupasuliwa kwa\u00a0kifua chake. *<\/span><\/p>\n<hr>\n<p style=\"margin-bottom: 10px;\">\u00a0<span style=\"font-size: 12pt; color: #800000;\">* Arraheeq Al Makhtuum\u00a0<\/span><\/p>\n<hr>","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>BARAKA ZA MTUME MUHAMMAD \ufdfa KWA BANU SA\u2019AD Kwa sababu ya Baraka za Mtume \ufdfa Halima aliona mambo ambayo aliyasimulia kwa kustajabishwa kwake na\u00a0tumwache yeye mwenyewe atueleze hilo kwa ufafanuzi: Ibni Ishaq anasema, Halima aliwahi kusimulia kuwa siku moja alikuwa akitoka katika mji wake pamoja na mume wake,\u00a0na mtoto wake mdogo akiwa ananyonya, alikuwa ni [&hellip;]<\/p>","protected":false},"author":2,"featured_media":15476,"comment_status":"open","ping_status":"closed","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"_acf_changed":false,"give_campaign_id":0,"_bbp_topic_count":0,"_bbp_reply_count":0,"_bbp_total_topic_count":0,"_bbp_total_reply_count":0,"_bbp_voice_count":0,"_bbp_anonymous_reply_count":0,"_bbp_topic_count_hidden":0,"_bbp_reply_count_hidden":0,"_bbp_forum_subforum_count":0,"footnotes":""},"categories":[57],"tags":[],"class_list":["post-7433","post","type-post","status-publish","format-standard","has-post-thumbnail","hentry","category-sera-ya-mtume"],"acf":[],"_links":{"self":[{"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/7433","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/users\/2"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=7433"}],"version-history":[{"count":4,"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/7433\/revisions"}],"predecessor-version":[{"id":15548,"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/7433\/revisions\/15548"}],"wp:featuredmedia":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/media\/15476"}],"wp:attachment":[{"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=7433"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=7433"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=7433"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}