{"id":7423,"date":"2021-06-25T13:03:55","date_gmt":"2021-06-25T13:03:55","guid":{"rendered":"https:\/\/uongofu.com\/?p=7423"},"modified":"2022-09-14T09:24:46","modified_gmt":"2022-09-14T09:24:46","slug":"kabila-la-quraishi","status":"publish","type":"post","link":"https:\/\/uongofu.com\/en\/kabila-la-quraishi\/","title":{"rendered":"KABILA LA QURAISHI"},"content":{"rendered":"<hr \/>\n<p style=\"text-align: center;\"><span style=\"font-size: 18pt; color: #0000ff; font-family: terminal, monaco;\">KABILA LA KURAISHI NA UTAWALA WAKE<\/span><\/p>\n<hr \/>\n<p style=\"text-align: center;\">\n<p><span style=\"font-size: 14pt;\">Makabila mengi yalipatikana kutokana na kizazi cha Ismail mwana wa Nabii Ibrahimu katika nchi ya Hijazi, kabila la Qurayshi ndilo lililokuwa mashuhuri zaidi.<\/span><\/p>\n<p><span style=\"font-size: 14pt;\">Baadhi ya makabila haya yalikuwa yakimuabudu Mwenyezi Mungu kupitia mafundisho ya dini ya Nabii Ibrahim- Amani ya Allah imshukie.<\/span><\/p>\n<p><span style=\"font-size: 14pt;\">Uongozi wa kidini na kibiashara ulitawaliwa na Maqurayshi kwa sababu ya ushujaa na ufasaha waliokuwa nao, sifa hizi ndizo zilizolipelekea kabila la Qurayshi kuyatawala makabila mengine yote.<\/span><\/p>\n<p><span style=\"font-size: 14pt;\">Mji wa Makkah na Maqurayshi walizidi kupata utukufu pale Mzee Qusway Bin Kilaab-babu wa nne wa Mtume aliposhika hatamu za uongozi wa mji wa Makkah.<\/span><\/p>\n<p><span style=\"font-size: 14pt;\">Mzee huyu alikuwa ni mtu mwenye busara, fikra na hekima. Alianzisha mpango mji, bunge ili watu wote wa Makkah waweze kukutana humo na kushauriana\/kujadili mambo yao, pia aliijenga upya Al-Kaaba baada ya kuanza kuonyesha athari za kubomoka.<\/span><\/p>\n<p><span style=\"font-size: 14pt;\">Kadhalika alianzisha utaratibu wa kuwasaidia masikini kwa kuwapa chakula na maji. Baada ya kupita vizazi vingi, taratibu Maqurayshi walianza kuyatupa mafundisho ya dini ya Nabii Ibrahimu na kuanza kuyaabudu masanamu yaliyotengenezwa na mikono yao wenyewe.<\/span><\/p>\n<p><span style=\"font-size: 14pt;\">Ibada ya msanamu ilikuwa ni matokeo ya safari ya mmoja wa viongozi wa Maqurayshi <span style=\"color: #ff6600;\">Amru bin-l Hayy,\u00a0<\/span>Alikuwa ni wakutoka kabila Khuza&#8217;a alipokewenda Shamu na kuwakuta watu wa huko wakiyaabudia masanamu na akapendezwa na kuvutiwa na ibada hiyo.<\/span><\/p>\n<p><span style=\"font-size: 14pt;\">Akarejea Makkah na sanamu moja, akaliweka ndani ya Al-kaaba na kuanza kuliabudia.Na huyu ndie mtu wa kwanza alie leta masanamu na kubadili dini ya Nabii Ibrahim (A.s) ya kuabudiwa Mungu mmoja.<\/span><\/p>\n<p><span style=\"font-size: 14pt;\">Na Mtume ameeleze mwisho mbaya wa huyu bwana kwa kitendo kibaya alicho kifanya cha kuabudiwa Masanamu badala ya Mwenyezi Mungu.Amesema Mtume:<\/span><\/p>\n<p style=\"text-align: center;\"><span style=\"font-size: 14pt; color: #51d624;\">[\u0631\u0623\u064a\u062a \u0639\u0645\u0631\u0648 \u0628\u0646 \u0644\u062d\u064a \u064a\u062c\u0631 \u0642\u0635\u0628\u0647 \u0641\u064a \u0627\u0644\u0646\u0627\u0631&#8221; \u064a\u0639\u0646\u064a \u0623\u0645\u0639\u0627\u0621\u0647]<\/span><\/p>\n<p style=\"text-align: center;\">\n<p><span style=\"font-size: 14pt; color: #2d2dd2;\">[Nimemuona Amru binl-Hayy akikokota tumbo lake katika Moto wa Jahannam]<\/span><\/p>\n<p><span style=\"font-size: 14pt;\">Watu wa Makkah kuona hivyo nao wakamuiga kiongozi wao, wakatengeneza masanamu yao wakayaweka ndani ya Al-kaaba na kuyaabudia na huo ukawa ndio mwanzo wa kuiacha na kuitupa mila ya Nabii Ibrahimu.<\/span><\/p>\n<hr \/>","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>KABILA LA KURAISHI NA UTAWALA WAKE Makabila mengi yalipatikana kutokana na kizazi cha Ismail mwana wa Nabii Ibrahimu katika nchi ya Hijazi, kabila la Qurayshi ndilo lililokuwa mashuhuri zaidi. Baadhi ya makabila haya yalikuwa yakimuabudu Mwenyezi Mungu kupitia mafundisho ya dini ya Nabii Ibrahim- Amani ya Allah imshukie. Uongozi wa kidini na kibiashara ulitawaliwa na [&hellip;]<\/p>","protected":false},"author":2,"featured_media":15476,"comment_status":"open","ping_status":"closed","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"_acf_changed":false,"give_campaign_id":0,"_bbp_topic_count":0,"_bbp_reply_count":0,"_bbp_total_topic_count":0,"_bbp_total_reply_count":0,"_bbp_voice_count":0,"_bbp_anonymous_reply_count":0,"_bbp_topic_count_hidden":0,"_bbp_reply_count_hidden":0,"_bbp_forum_subforum_count":0,"footnotes":""},"categories":[57],"tags":[],"class_list":["post-7423","post","type-post","status-publish","format-standard","has-post-thumbnail","hentry","category-sera-ya-mtume"],"acf":[],"_links":{"self":[{"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/7423","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/users\/2"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=7423"}],"version-history":[{"count":3,"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/7423\/revisions"}],"predecessor-version":[{"id":15541,"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/7423\/revisions\/15541"}],"wp:featuredmedia":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/media\/15476"}],"wp:attachment":[{"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=7423"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=7423"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=7423"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}